Learn Swahili Online

English To Swahili
hello jambo
bye kwaheri
congratulations pongezi
sorry pole
really kweli
a green tree Mti wa kijani Kibichi
a tall building Jengo ndefu
a very old man mzee mkongwe/ mtu mzee sana
the old red house Nyumba nyekundu iliozeeka sana
a very nice friend rafiki mzuri sana
I read a book sometimes Mimi husoma kitabu mara kwa mara
I will never smoke Sitawahi vuta sigara
are you alone? Uko Pweke?
my car gari langu
green car gari la kijani kibichi
three cars magari matatu
car garage gereji la gari
outside the car nje ya gari
my book kitabu changu
my books vitabu vyangu
our daughter binti wetu
our daughters binti wetu
I'm cold nasikia baridi
we're cold tunasikia baridi
his chickens kuku wake
their chicken kuku wao
he is happy amefurahi
she is happy amefurahi
he is American ni Mmarikani
she is American ni Mmarikani
I can accept that Naweza kukubali kwamba
she added it aliongeza kuwa
we admit it tunakubali
they advised him walimshauri
I can agree with that nakubaliana na hayo
she allows it anaruhusu
we announce it tunatangaza
I can apologize naomba msamaha
she appears today anaonekana leo
they arranged that walipanga hivyo
I can arrive tomorrow nitawasili kesho
she can ask him anaweza kumuuliza
she attaches that yeye huunganisha hiyo
we attack them sisi huwashambulia
they avoid her wamamuepuka
I can bake it naweza kuipikia
she is like him yeye ni kama yeye
we beat it tuliipiga
they became happy walifurahi
I can begin that nawesza kuanza
we borrowed money tulikopa pesa
they breathe air wanapumua hewa
I can bring it nitaileta
I can build that naweza kuijenga
she buys food yeye hununua chakula
we calculate it sisi hufanya hesabu hii
they carry it wao huibeba
they don't cheat hawadangayi
she chooses him yeye humchagua
we close it sisi huifunga
he comes here yeye huja hapa
I can compare that naweza kuilinganisha
she competes with me yeye hushindana nami
we complain about it sisi hulalamika juu yake
they continued reading waliendelea kusoma
he cried about that alilia juu yake
I can decide now naweza kuamua sasa
she described it to me alinielezea kuhusu
we disagree about it sisi hatukubaliani
they disappeared quickly walitoweka haraka
I discovered that niligundua kwamba
she dislikes that yeye hapendi
we do it sisi hufanya
they dream about it wao huota juu yake
I earned nimelipwa
he eats a lot yeye anakula sana
we enjoyed that sisi tulifurahia
they entered here waliingia hapa
he escaped that aliepuka hiyo
I can explain that siwezi kueleza hayo
she feels that too anahisi hivyo pia
we fled from there sisi tulitoroka toka huko
they will fly tomorrow wataondoka kwa ndege kesho
I can follow you naweza kukufuata
she forgot me alinisahau
we forgive him tumemsamehe
I can give her that naweza kumpa hiyo
she goes there yeye huenda huko
we greeted them tulimsalimu
I hate that nadharau hiyo
I can hear it Naweza kusikia
she imagine that yeye hufikiri hivyo
we invited them tuliwakaribisha
I know him Mimi namjua
she learned it alijifunza
we leave now twaondoka sasa
they lied about him walimsingizia
I can listen to that naweza kusikiliza
she lost that alipoteza
we made it yesterday tulifaulu jana
they met him walikutana naye
I misspell that siandiki vyema
I always pray mimi husali
she prefers that anapendelea hiyo
we protected them tuliwatunza
they will punish her watamuadhibu
I can put it there naweza kuiweka pale
she will read it ataisoma
we received that tulipokea hiyo
they refuse to talk wanakataa kuongea
I remember that nakumbuka hayo
she repeats that anarudia hiyo
we see it tunaona
they sell it tunaiuza
I sent that yesterday nilituma hiyo jana
he shaved his beard alimnyoa ndevu
it shrunk quickly ilipungua haraka
we will sing it tutuimamba
they sat there walikaa hapo
I can speak it nawaza kuisema
she spends money anatumia pesa
we suffered from that tuliteseka
they suggest that sisi tunadokeza kuwa
I surprised him nilimshangaza
she took that alichukua hiyo
we teach it tunaifunza
they told us Walituambia
she thanked him alimshukuru
I can think about it nitafikiria kuhusu
she threw it aliitupa
we understand that tunaelewa hivyo
they want that wanataka hiyo
I can wear it naweza kuivaa
she writes that anaandika hivyo
we talk about it tunajadili kuhusu
they have it wanayo
I watched it niliitazama
I will talk about it nitaongea kuhusu
he bought that yesterday alinunua hiyo jana
we finished it tuliimaliza
inside the house ndani ya nyumba
outside the car nje ya gari
with me na mimi
without him pasipo yeye
under the table chini ya meza
after tomorrow baada ya kesho
before sunset kabla ya machweo
but I'm busy lakini nina shughuli nyingi
he is not here hako hapa
that is not my book hicho si kitabu changu
do not enter usiingie
where is he? yuko wapi?
what is this? ni kitu gani?
why are you sad? mbona una huzuni?
how do you want to pay? wataka kulipa vipi?
can I come? naweza kuja?
is he sleeping? amelala?
do you know me? wanijua?
do you have my book? je, una kitabu changu?
how big is it? waweza kueleza ukubwa wake?
can I help you? ninaweza kukusaidia?
can you help me? Unaweza kunisaidia?
do you speak English? Waongea kiingereza
how far is this? waweza kueleza umbali wake?
what time is it? ni saa ngapi?
how much is this? ni kiasi gani?
what is your name? Jina lako?
where do you live? Unaishi wapi?

Popular Posts